![]() |
InspireFikra PodcastAuthor: Mrs. Agness Gabriel Sanga Language: sw Genres: Religion & Spirituality, Spirituality Contact email: Get it Feed URL: Get it iTunes ID: Get it |
Listen Now...
Karibu InspireFikra
Tuesday, 9 September, 2025
Episode hii inahusu utangulizi Ili upate kufahamu InspireFikra ni nini? lengo lake ni lipi na ni kwaajili ya nani?Nina imani baada ya kusikiliza utachukua uamuzi sahihi wa kuwa Mshirika wa kudumu wa Jukwaa hili. Utakua nami Mrs. Agnes Gabriel Sanga, Kila siku ya Jumatatu, Jumatano na Ijumaa, saa tatu kamili asubuhi. Karibu sana!












