![]() |
Deutsch warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche WelleAuthor: DW.COM Deutsche Welle
Andreas ana shughuli nyingi za kufanya. Inambidi kushughulikia wageni hotelini, kuwatafutia wazazi wake chumba na pia kumhoji Charlemagne. Ziada ya hayo, wazazi wake wanamchunguza ex ni nani na wapi alikutana na binti yao. Mambo muhimu ya sarufi: Vitenzi vya utaratibu, wakati timilifu, uhusika usioungwa moja kwa moja. Language: sw Genres: Courses, Education, Language Learning Contact email: Get it Feed URL: Get it iTunes ID: Get it |
Listen Now...
Wednesday, 1 January, 1000













