Jifunze Kijapani: Masomo ya mazungumzo | NHK WORLD-JAPANAuthor: NHK WORLD-JAPAN
Jifunze misemo muhimu na kupata ufahamu wa kitamaduni kwa kusikiliza simulizi ya Tam, mwanafunzi wa kimataifa aliyesajiliwa katika chuo kikuu kimoja cha Japani. Shirika la umma la Japani, NHK, linatoa kozi hii ya lugha ya Kijapani kupitia podcast, bila malipo. nhk.jp/lesson Language: sw Genres: Education, Language Learning Contact email: Get it Feed URL: Get it iTunes ID: Get it |
Listen Now...
Somo la 48: Kusema unachotaka kufanya siku za mbeleni
Monday, 7 September, 2020