![]() |
Innocent MorrisAuthor: Innocent Morris
Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi Language: sw Genres: Christianity, Education, How To, Religion & Spirituality Contact email: Get it Feed URL: Get it iTunes ID: Get it |
Listen Now...
MAMBO 6 YANAYOWEZA KUHARIBU URAFIKI WAKO NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
Monday, 20 April, 2026
Send us Fan MailKatika somo hili utajifunza mambo 6 yanayoweza kuharibu urafiki wako na Roho Mtakatifu, na jinsi ya kuyaepuka ili uendelee kuwa na maisha ya kiroho yenye nguvu na ushirika wa karibu na Mungu.Maandiko yanatuonya:"Wala msimhuzunishe Roho Mtakatifu wa Mungu."Waefeso 4:30Somo hili litakusaidia:Kuelewa mambo yanayomfanya Roho Mtakatifu ahuzunike.Kujifunza jinsi ya kulinda ushirika wako na Mungu.Kukua katika maisha ya utakatifu na utii.Ubarikiwe sana.Contact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit ConnectÂ








