![]() |
SepetukoAuthor: Standard Media
Kurunzi ya falsafa inayoangazia bila woga masuala mazito yanayoiathiri jamii. Language: sw Contact email: Get it Feed URL: Get it iTunes ID: Get it |
Listen Now...
Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.
Thursday, 1 August, 2024
Matukio yanayoendelea ndani ya chama cha UDA ni dhihirisho tosha la umbali wa safari yetu kuwa na vyama vya kisiasa vyenye sera na msimamo. Vyetu ni vyama vinavyotumiwa tu kuwa daraja la kuingia mamlakani na baada ya uchaguzi, kudondoshwa kama kaa moto.