Hoja za WahaririAuthor: The Standard Group PLC
Wahariri wetu wenye tajriba wanatoa hoja na mitazamo mizito kuhusu masuala yanayogonga vichwa vya habari, kila wiki. Language: sw Genres: News, News Commentary Contact email: Get it Feed URL: Get it iTunes ID: Get it |
Listen Now...
Vita vya Urusi na Ukraine; athari kwa dunia
Friday, 25 February, 2022
Mwanahabari mstaafu wa kimataifa, Abdu Mtullya anasema vita vya Urusi na Ukraine havistahili na huenda vikaathiri zaidi uchumi duniani, ikiwamo Afrika. Vita hivyo vimesababisha kupanda kwa bei ya mafuta, Urusi ikiendelea kurusha makombora katika ngome za Ukraine, hali ambayo haijawahi kushuhudiwa tangu mwaka wa 2014.