![]() |
Yesaya Software PodcastAuthor: Yesaya R. Athuman
Ebwana mambo vipi, jina langu ni Yesaya, kila wiki ninakuletea mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuhabarisha, kukuelimisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na mimi nitajikita zaidi kwenye upande wa mifumo ya kompyuta. Language: sw Genres: Education, Technology Contact email: Get it Feed URL: Get it iTunes ID: Get it |
Listen Now...
KotlinConf kwa Mara ya Kwanza Dar es Salaam - GDG Dar es Salaam
Episode 3
Friday, 7 June, 2024
GDG Dar es Salaam kwa mara ya kwanza inakuletea #KotlinConf itakayofanyika tarehe 08/06/2024. RSVP Link: https://gdg.community.dev/events/details/google-gdg-dar-es-salaam-presents-gdg-dar-presents-kotlin-conf-global-2024/