![]() |
Jua Haki ZakoAuthor: RFI Kiswahili
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla. Language: sw Genres: Government Contact email: Get it Feed URL: Get it iTunes ID: Get it |
Listen Now...
Tamaduni na sheria zetu wapi Mipaka ?
Monday, 31 March, 2025
Kwenye makala haya tunajikita na kuzama kuangazia tafauti iliopo kati ya haki, sheria na dhuluma dhidi ya wanawake. Haya yote ni kutoka na familia moja nchini Kenya eneo la Narok, ambayo inalilia haki baada ya msichana wao kutetendwa vitendo vya kinyama kutokana tamaduni za jamii ya Kisii kumtaka amwange mchanga ndani ya kaburi la aliyekuwa bwana yake kinyume na matakwa yake.Skiza makala haya kufahamu mengi zaidi.