![]() |
Wimbi la SiasaAuthor: RFI Kiswahili
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa Language: sw Genres: News Contact email: Get it Feed URL: Get it iTunes ID: Get it |
Listen Now...
Kwanini vijana wa Gen Z wanaendelea na maandamano nchini Kenya ?
Wednesday, 9 July, 2025
Vijana nchini Kenya maarufu kama Gen Z, wameendelea kuandamana dhidi ya serikali ya rais William Ruto. Maandamano haya yameishia kwenye maafa na majeruhi tangu mwezi Juni mwaka 2024. Tunaungana na wanafunzi wa chuo cha ufundi cha NIBS kilichopo Ruiru, kusikia kutoka kwao. Kwanini wanaandamana ?