![]() |
MAELEZO PODCASTSAuthor: Maelezo Podcasts
Sikiliza MAELEZO PODCASTS (Podcasts za Kiswahili kutoka Idara ya Habari MAELEZO, Tanzania) kupata taarifa na matukio mbalimbali nchini Tanzania. Idara ya Habari (MAELEZO) ipo chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ikiwa na jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, Mipango na Miradi ya Maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya sera na sheria za habari. Language: sw Genres: Government Contact email: Get it Feed URL: Get it iTunes ID: Get it |
Listen Now...
Neno Uzalendo kwa Ufupi!
Episode 9
Sunday, 21 February, 2021
Neno Uzalendo kwa Ufupi kabisa!











