![]() |
MAELEZO PODCASTSAuthor: Tanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO)
Sikiliza MAELEZO PODCASTS (Podcasts za Kiswahili kutoka Idara ya Habari MAELEZO, Tanzania) kupata taarifa na matukio mbalimbali nchini Tanzania. Idara ya Habari (MAELEZO) ipo chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ikiwa na jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, mipango na miradi ya maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya Sera na Sheria za habari. Language: sw Genres: Education, Government Contact email: Get it Feed URL: Get it iTunes ID: Get it |
Listen Now...
Changamoto ya Afya ya Akili, ni akina nani waathirika zaidi?
Friday, 21 August, 2026
Kupitia Maelezo Podcast tunajadili kuhusu afya ya akili kwa kumualika Daktari Veronica Lyimo, Bingwa wa Afya na Magonjwa ya Akili kutoka Taasisi ya Afya ya Akili Tanzania, ambaye anatupitisha kwenye visababishi vya changamoto ya afya ya akili, dalili, utofauti wa ugonjwa wa akili na changamoto ya afya ya akili na namna ya kukabiliana na changamoto hizo.Support the showMsemaji Mkuu wa Serikali









