allfeeds.ai

 

NMU PODCAST  

NMU PODCAST

Author: martine

NMU PODCAST is a digital platform established essentially to present the themes in audio forms and make them available to all internet users either by downloading or listening to them online. Together with other interesting stuffs NMU podcast presents amazing contents based on analysis and interviews about entertainments, relationships, lifestyles discoveries as well as history and biographies which are then published to all famous audio platforms including the Apps You can easily access all what we release for you simply by liking and following us on our S/m media platforms @nextmusicuniverse
Be a guest on this podcast

Language: sw

Genres: Music, Music Interviews

Contact email: Get it

Feed URL: Get it

iTunes ID: Get it

Trailer:


Get all podcast data

Listen Now...

KWANI NI LAZIMA KUJIBU KILA SWALI KWENYE INTERVIEW??
Thursday, 17 June, 2021

   Katika pita pita Zetu kwenye mitandao ya kijamii Tumekutana na mjadara mzito kwenye moja ya page , ikiweza kusemea msanii ibraah kutoka konde gang, kuwa sio lazima saana kujibu kila maswali ambayo maybe anakuwa akihulizwa na waandishi au broga mbali mbali , Ishu imekuwa kwanza kijana amekuwa very flexible na ananyoosha saana mahelezo kwenye kujibu, na uzuri au ubaya hata akihulizwa maswali ambayo yanalenga upande wa pili ambapo kuna ushindani wake wa mziki yeye unyoosha either kwa kusifia au kwa kutolea ufafanuzi Kupitia ilo tukaona je hii imekaaje kwenye ishu nzima ya msanii kama brand na kama bidhaa, je inamwalibia au, inamtengenezea njia nzuri ya kueleweka kwa mashabiki, Hapa tunakupa faida na vijihasara ambavyo msanii anaweza kuvipata kupitia kujibu kila maswali kwenye interview.

 

We also recommend:


99.9 Y Country
Mid-West Family - Southwest Michigan

What's The Vibe In 1711?
Whats The Vibe In 1711?

Money Moves
iAmMoneyMoves

MI MÚSICA
Pablo Garcia

Indie Afternoon with Thearosa
The Beat Radio Bali

N.0
Terry Carter

Kiin9 Royalty Radio
King Perez

Only Shotcast
Ed Miguens



Pretty Punk Pod
Chia Whitby

Mladi virtuozi
RTVSLO Ars

Changing Faces Podcast
Changing Faces