![]() |
FIKRA TUNDUIZIAuthor: VENANCE JOHN
Wengi wanaeleza na kutoa taarifa za kijamii lakini wanashindwa kuonyesha ukubwa wa tatizo hilo katika jamii.... Karibu sana FIKRA TUNDUIZI upate majadiliano, midahalo, mada, taarifa na habari zinazoigusa jamii moja kwa moja ambazo zimerahisishwa, kufafanuliwa vizuri na kuchambuliwa kwa namna ambayo hutoachwa na shaka wala hutoachwa bila kutoelewa... FIKRA TUNDUIZI PODCAST MAARIFA ADHIMU YA KUJENGA JAMII. Language: sw Genres: News, News Commentary Contact email: Get it Feed URL: Get it iTunes ID: Get it |
Listen Now...
Chimbuko la mgogoro wa "Hamas" na Israel
Episode 1
Monday, 4 December, 2023
Kwanini "Hamas" hawakubali uwepo wa taifa la Israel? Huu ni uchambuzi na ufafanuzi wa kina kutoka katika mitazamo miwili. Mtazamo wa kwanza ni wa kidunia Mtazamo wa pili ni wa kiroho; ambapo Biblia ilishatabili juu ya vita hii.