![]() |
Meza HuruAuthor: Meza Huru
Tanzanian music, from Genesis to currently status told by Stake holders. Language: sw Genres: Music, Music History Contact email: Get it Feed URL: Get it iTunes ID: Get it Trailer: |
Listen Now...
Mezani na ASHA BARAKA #24
Thursday, 13 February, 2025
AshaBaraka ni nani? Asha Baraka ni ASHA BARAKA. Unaweza kwenda mbali zaidi ukamuitaMama wa muziki wa dansi Tanzania na usiwe umemzidishia sifa. Asha Barakamwanamichezo kutoka Tabora Girls, Bima hadi kua kocha wa Netball(mpira wapete).Lakinileo tunakubaribisha kwenye safari yake kama mwanamke wa kwanza kumiliki bendiya muziki wa dansi Tanzania na mtanzania pekee ambae anaweza sema asilimiakubwa ya wanamuziki wanaofanya mziki wa dansi leo hii wamepita chini ya uongoziwake, iwe ni bendi au chuo cha kufundishia muziki.Jeni nani walikua wasanii wa kwanza kabisa Twanga? Banza Stone alikua mahirikiasi gani? Unafahamu Luiza Mbutu alifika fikaje Twanga? Kwanini Ally Chokianaitwa kinanda?Yotehaya ameyanyoosha kuweka rekodi sawa. Na ziada si haba. Karibu mezaniumsikilize The Ironylady, Mama, Bibi, Mkurugenzi na Chairman ila sisi tunamuitaNguzo kubwa ya mziki wa dansi Tanzania.