![]() |
Deutsch warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche WelleAuthor: DW.COM Deutsche Welle
Andreas anafanya kazi kwenye Hotel Europa iliyoko katika mji wa Aachen ili apate kugharamia masomo yake ya uandishi habari. Vituko vinaanza baada ya kutoweka kwa mwanamuziki maarufu kutoka chumba nambari 10. Mambo muhimu ya sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi, viwakilishi-nafsi, maswali mepesi, uhusika wa moja kwa moja. Language: sw Genres: Courses, Education, Language Learning Contact email: Get it Feed URL: Get it iTunes ID: Get it |
Listen Now...
Wednesday, 1 January, 1000